UPTREND
บันทึกช่วยจำ
NZDUSD katika timeframe ya masaa ya siku ( masaa 24 ) tunaona price imetoka kwenye resistance na sasa imerudi kuretest kwenye neckline ya inverse head and shoulders.
-
Nategemea next week price ikamilishe retest na kuendelea na safari ya kwenda juu nikimaanisha bullish movement
Chart PatternsTrend Analysis

คำจำกัดสิทธิ์ความรับผิดชอบ